"li ufanikiwe ni lazma Udharirike kwanza... Yaani lazima uwaonyeshe watu kuwa kitu fulani mie nakiweza... na katika kuwaonyesha huko kuna wengine watakudharau, watakubeza na kukucheka....ila kuna wengine watakipenda, watathamini, kukikubali na kukupa nafasi... Maisha ndio Yako Hivyo... Kadri unavyozidi kuogopa na kuona "watanichukuliaje" ndio unazidi kuchelewa kufikia ndoto zako.....Amka sasa Ukawaonyeshe!"
Translated
"It is a lazma you have done it first ... That's what you must show people to be something I can do ... and in showing them there will be some who will despise you, they will laugh and laugh at you .... except others will love you, appreciate it, accept it and give you space ... Life Is Your So ... As you become more afraid and see how "they will think of me" it's too late to reach your dreams ..... Arise now Show them"
Social Plugin